0
Universities Abroad Representatives (UAR) inapenda kukualika kwenye Lunch Party ya kuwaaga na kuwajulisha mipango ya safari ya kwenda Chuo kwa Wanafunzi wanaokwenda kusoma nje ya Nchi.
Sherehe itafanyika (Jumatano, 12/09 saa Nane Mchana) Urban Rose Hotel Jamhuri Street, karibu na Kisutu police Post,
Mwanafunzi aje na wazazi/Walezi wawili, maswali yote yataulizwa hapo, thibitisha kufika kwenu kupitia namba hizi;
+255 658 489800 / +255 755 489800 / +255 624 489898
Au pitia card ya mwaliko Office za UAR

Tafadhali fika bila kukosa.

Post a Comment

 
Top